Mechi za makundi za round ya pili ya kombe la shirikisho zimemalizaka muda mchache uliopita ambapo matokeo ya mechi hizo ni kama yafuatayo
st Eloi Lupopo ya DRC imekubali kichapo cha bao 2-1 mbele ya Mrumo ya Africa kusini wakati waarabu wa El Akhdar ya Libya na USM Alger ya Algeria wametoka sare ya bao 1-1 jijini Tripoli Libya
Waarbu wa Misri pia Future FC na Pyramids wamekwenda sare ya bao 1-1 nyumbani kwa FutureFC
Real Bamako na Monistir ya Tunisia pia wametoka sare ya bao 1-1 jijini Bamako Mali ilihali Rvers UTD imeichapa Asec Memosas ya ya Ivory coast 3-0 jijini Lagos wakati Young Africans ya Tanzania ikiibugiza TP Mazembe ya DRC mabao 3-1 jijini Dar es salaam
mechi zingine zinazoendelea sasahivi ni FAR Rabat ya Moroco ikimenyana na Kara ya Togo jijini Rabat huku FAR Rabat ikiibuka na ushindi wa bao 5-1 wakati DC.Motema pembe ya DRC ikienda sare ya bila kufungana na Diables ya Congo Brazavile jijini Lubumbashi,.
No comments:
Post a Comment